%1$s

Huduma za Wagonjwa wa Kimataifa katika Hospitali za Yashoda nchini India

 • Kutibu wagonjwa 12000 kutumia Teknolojia ya RapidArc duniani, ya juu zaidi katika kuhudumia saratani
 • Kufanya ulinganishaji nusu wa upandikizaji wa Uboho sehemu ya Kusini mwa India
 • Kufanya upandikizaji wa Figo kutumia Roboti sehemu ya Kusini mwa India
 • Kuagiza upasuaji wa ndani kwa ndani wa MRI wa 3T nchini India

  Contact

  • Yes Same as WhatsApp number

  • By clicking on Send, you accept to receive communication from Yashoda Hospitals on email, SMS, call and Whatsapp.

  Kuhusu Hospitali za Yashoda, Hyderabad, India

  Tangu miongo mitatu, Kikundi cha Hospitali za Yashoda zimepiga hatua kama kituo cha ubora katika tiba zikitoa huduma zenye viwango vya juu za kutibu wagonjwa wakisafiri kutoka sehemu mbali mbali za ulimwengu na kutufanya kuwa miongoni hospitali bora zaidi nchini India kwa ajili ya utali wa kimatibabu

  Kazi zetu kila wakati zimekuwa zikiongozwa na mahitaji ya wagonywa na kutolewa muungano wetu mkamilifu wa teknolojia pindukizi, utendaji bora wa kimatibabu na utaratibu wa hali ya juu.

  Muhtasari kuhusu Hospitali za Yashoda

  • Hospitali 4 huru zilizo na leseni ya NABH na NABL

  • Vituo 3 vya Moyo

  • Vituo 3 vya Saratani

  • Kituo cha upandikizaji wa viungo tofauti

  • Vitanda 4000

  • Tiba 62 maalum

  • Madakitari 700 maalum

  • Zimetibu zaidi ya wagonjwa 3,000,000 katika kipindi cha miaka 5 iliyopita

  Utaalamu Wetu

  Kituo cha Saratani cha Yashoda kime kuwa kufanyika moja ya Vituo vya Ubora nchini India. Kituo kinahudumia zaidi ya wagonjwa 16,000 wa saratani kila mwaka kutoka kote nchini India nan chi jirani.

  • Kimetibu idadi kubwa zaidi wagonjwa wa saratani duniani (10000) na Teknolojia ya RapidArc
  • Ya kwanza nchini India kuanzisha Rapid Arc ya 4D iliyo na malango kwa ajili ya kutibu uondoaji wa vimbe.
  • Ya kwanza kuanzisha upasuaji wa miale kutumia Triple F (mfululizo – C Kichapukizi cha mstari)
  Matibabu yanayopatikana
  • Matiti, Saratani ya viungo vya uzazi na Ngozi na Saratani ya nyama na mifupa
  • Vimbe vya Kichwa na Shingo
  • Vimbe za Tumbo
  • Vimbe za njia ya mkojo
  • Vimbe za ubongo
  • Vimbe za miguu
  • Upandikizaji wa Uboho (Autologus BMT, Allogenic BMT, Upandikizaji wa kitovu)

  Katika Hospitali za Yashoda, mpango wa upandikizaji ni miongoni mwa mipango ya juu zaidi nchini India ya kupandikiza viungo. Timu yetu ya wataalamu mbali mbali ya madakitari wa upandikizaji, wapasuaji wa upandikizaji, maratibu wa upandikizaji, wauguzi, wataalamuwa lishe, watoaji dawa na wafanyakazi wengine hutoa huduma bora iwezekanavyo.

  Tunatoa huduma za kisasa ikiwa pamoja na usafishaji wa damu kwa mgonjwa wa figo, kumudu magonjwa ya maini, kumudu magonjwa ya figo, upasuaji kwaajili ya upandikizaji na huduma ya upandikizaji kwa watoto.

  • Upandikizaji wa Maini
  • Upandikizaji wa Figo
  • Upandikizaji wa Mapafu
  • Upandikizaji wa Moyo
  • Upandikizaji wa Uboho

  Sehemu ya Ubadilishaji wa viungo vya mifupa vime taalumia athroskopia, ikishuhgulikia kupona kwa jeraha, jeraha la uti wa mgongo na hali tatanishi za kuweka viungo mbadala hufanyika hapa kuhakikisha kuwa unapata afya kamili ya viungo na mifupa chini ya utunzaji wetu. Tukiwa na madakitari wa mifupa walio bora kutoka nchini kote, tunatoa matibabu ya kujitolea kwa matatizo yote ya mifupa, yawe madogo au makubwa. Matibabu yetu yanahusisha upasuaji ambao kidogo huwa wa kindani kwa ajili ya kuponya majeraha au kurekebisha mifupa. Timu yetu ya wataalamu wa nusukaputi, wapasuaji wa mifupa, dakitari wa ugonjwa wa baridi-yabisi na wataalamu wa urekebishaji wako hapa kufanya kupona kwako kuwe laini na wa haraka.

  • Kurekebisha kano kwa kujenga upya
  • Athroskopia
  • Kutoa sehemu ya diski ya uti wa mgongo
  • Kuweka nyonga mbadala
  • Vyuma vya magoti kwaajili ya baridi-yabisi
  • Kukata mfupa wa goti
  • Kuweka goti mbadala
  • Kuunganisha uti wa mgongo

  Sisi katika Hospitali ya Yashoda tunalenga kutoa huduma za mfumo wa neva zilizo za hali ya juu kisayansi na zilizo stadi. Timu ya wataalamu hodari wa mfumo wa neva wana uwezp wa kutambua na kutibu zaidi ya magonjwa 1100 ya mfumo wa neva.

  Mifumo ya matibabu
  • Ugonjwa wa Alzheimer, kupiswa
  • Ugonjwa wa Parkinson na matatizo ya mwndo
  • Upasuaji wa kifafa
  • Maumivu makali usoni yanayo sababishwa na matatizo ya neva
  • Uvimbe katika neva ya usawaziko
  • Kutibu vimbe kupitia miale

  Katika Hopitali za Kundi la Yashoda, tunajitahidi kuwapa wagonjwa wetu huduma za kimataifa za upasuaji kuhusiana na fetma na hali za afya zinazohusiana nayo. Tunatoa wigo kamili wa huduma za kupunguza uzito ikiwa pamoja na upasuaji wa ndani, upausaji unaotumia roboti, na huduma zinazo saidiwa na video. Tunahusika sana na kuliangalia swala la fetma tukitumia njia za kisasa na teknolojia za hali ya kisasa zaidi; kwa sababu kupunguza uzito mara nyingi huwa sio rahisi kama inavyosikika.

  • Kutoa sehemu ya utumbo
  • Kutengeza kifuko juu ya utumbo
  • Kupunguza utumbo
  • Kuweka mshipi wenye kibofu sehemu ya juu ya utumbo

  Kituo cha ubora cha kuhudumia njia ya mkojo la Kundi la Hospitali za Yashoda hutoa huduma za matibabu na upasuaji zinazomwelekea mgonjwa zikiangalia hali ya afya ya njia ya mkojo kwa wanawake na wanaume pamoja na sehemu za uzazi za wanaume. Wataalamu wetu wa njia ya mkoto hufanyakazi kwa ukaribu sana na wagonjwa kutengeneza mipango ya matibabu ya kibinafsi ambayo inahusisha tiba za dawa na upasuaji kwa matatizo mengi ya njia ya mkojo. Kufanya kazi kwa karibu na wataalamu wa figo, wataalamu wa sehemu za uzazi za wanaume na wataalamu wa vimbe za njia za mkojo pia huwapa wagonjwa wetu huduma kamili zaidi inayowezakupatikana na kuruhusu matokea bora zaidi.

  • Upasuaji wa kutumia baridi kutibu saratani au vimbe za njia ya mkojo
  • Kutumia miale kwaajili ya kutibu saratani ya tezi kibofu
  • Kuto tezi kibofu iliyo na saratani
  • Kutoa figo iliyo na saratani
  • Kugandisha kiungo chenye saratani
  • Upasuaji wa Kurekebisha Nyonga
  • Upasuaji wa ndani kwa ndani wa njia ya mkojo
  • Taratibu za kutibu matatizo ya uzazi kwa wanaume
  Tiba ya Uvimbe

  Upandikizaji wa viungo tofauti

  Ubadilishaji wa viungo vya mifupa

  Mfumo wa neva na Sayansi ya Mfumo wa neva

  Sisi katika Hospitali ya Yashoda tunalenga kutoa huduma za mfumo wa neva zilizo za hali ya juu kisayansi na zilizo stadi. Timu ya wataalamu hodari wa mfumo wa neva wana uwezp wa kutambua na kutibu zaidi ya magonjwa 1100 ya mfumo wa neva.

  Mifumo ya matibabu
  • Ugonjwa wa Alzheimer, kupiswa
  • Ugonjwa wa Parkinson na matatizo ya mwndo
  • Upasuaji wa kifafa
  • Maumivu makali usoni yanayo sababishwa na matatizo ya neva
  • Uvimbe katika neva ya usawaziko
  • Kutibu vimbe kupitia miale
  Upasuaji wa kupunguza utumbo

  Katika Hopitali za Kundi la Yashoda, tunajitahidi kuwapa wagonjwa wetu huduma za kimataifa za upasuaji kuhusiana na fetma na hali za afya zinazohusiana nayo. Tunatoa wigo kamili wa huduma za kupunguza uzito ikiwa pamoja na upasuaji wa ndani, upausaji unaotumia roboti, na huduma zinazo saidiwa na video. Tunahusika sana na kuliangalia swala la fetma tukitumia njia za kisasa na teknolojia za hali ya kisasa zaidi; kwa sababu kupunguza uzito mara nyingi huwa sio rahisi kama inavyosikika.

  • Kutoa sehemu ya utumbo
  • Kutengeza kifuko juu ya utumbo
  • Kupunguza utumbo
  • Kuweka mshipi wenye kibofu sehemu ya juu ya utumbo
  Upasuaji wa njia ya mkojo

  Kituo cha ubora cha kuhudumia njia ya mkojo la Kundi la Hospitali za Yashoda hutoa huduma za matibabu na upasuaji zinazomwelekea mgonjwa zikiangalia hali ya afya ya njia ya mkojo kwa wanawake na wanaume pamoja na sehemu za uzazi za wanaume. Wataalamu wetu wa njia ya mkoto hufanyakazi kwa ukaribu sana na wagonjwa kutengeneza mipango ya matibabu ya kibinafsi ambayo inahusisha tiba za dawa na upasuaji kwa matatizo mengi ya njia ya mkojo. Kufanya kazi kwa karibu na wataalamu wa figo, wataalamu wa sehemu za uzazi za wanaume na wataalamu wa vimbe za njia za mkojo pia huwapa wagonjwa wetu huduma kamili zaidi inayowezakupatikana na kuruhusu matokea bora zaidi.

  • Upasuaji wa kutumia baridi kutibu saratani au vimbe za njia ya mkojo
  • Kutumia miale kwaajili ya kutibu saratani ya tezi kibofu
  • Kuto tezi kibofu iliyo na saratani
  • Kutoa figo iliyo na saratani
  • Kugandisha kiungo chenye saratani
  • Upasuaji wa Kurekebisha Nyonga
  • Upasuaji wa ndani kwa ndani wa njia ya mkojo
  • Taratibu za kutibu matatizo ya uzazi kwa wanaume

  Panga Safari Yako

  1. Mpango wa Matibabu
  • Uratibu na washauri wa kimatibabu
  • Mawasiliano kuhusu utambuzi na mapendekezo ya matibabu ndani ya saa 24
  • Ratiba ya mikutano na mpango wa matibabu
  2. Usaidizi wa Usafiri Mzima
  • Usaidizi kutuma barua ya maombi ya visa ya matibabu
  • Mwongozo katika utaratibu wa visa na urasmi.
  • Mwongozo katika kuchagua kampuni ya ndege na habari za mpito
  • Uwanja wa ndege hadi Uwanja wa ndege : Kuchukuliwa na kurudishwa bure uwanjani mwa njege wakati umefika mjini
  • Kutolewa Uwanja wa ndege hadi Hospitalini kutumia ambulansi wakati inahitajika.
  • Mpango wa makaazi nchini India
  3. Huduma Wakati uko hapa
  •  Kujiandikisha kwa Haraka – urasmi mchache na kazi ya karatasi
  4. Chakula na Makaazi
  • Mipango ya chakula na vinywaji vinavyo takikana inafanywa. Ndani ya nyumba
  • Vyakula vya kimataifa na vilifotengezwa kukufaa – Unahakikishiwa kujisikia kama uko Afrika
  • Vifaa vya kimataifa kwa starehe ya wagonjwa wetu wa kimataifa – Vyumba vya kimataifa
  • Runinga ya Setilaiti
  • Tarakilishi iliyo na mtandao
  • Simu unayoweza kupiga kimataifa
  • Huduma za chumbani
  • Huduma za ufuaji, na kadhalika.
  5. Taratibu za Uhamiaji

  Usaidizi na FRRO (Afisi ya Kikanda ya Kuandikisha Wageni) Fomu za kuwasili

  6. Huduma Mahospitalini
  • Mwingiliano na madakitari wakuu kabla ya upasuaji
  • Kutembelewa na madakitari wakuu kila siku baada ya upasuaji
  • Dawati la huduma lililotengewa wagonjwa wa kimataifa kama “sehemu moja ya mawasiliano” kwa mahitaji yote
  • Mtumishi mmoja kukaa na mgonjwa ndani ya chumba bila malipo
  • Usaidizi wa kutafsiri – Wagonjwa wasio ongea Kiingereza
  • Uandikishaji wa simu ya rununu ya eneo hili – mahitaji yote ya kimawasiliano yana shughulikiwa pamoja na kupata kunganishwa mtandao wa eneo hili
  • Mawasiliano ya kilasiku na jamii ya marafiki
  7. Huduma Baada ya Kutoka
  • Usaidiza wa vyumba vya kulala, nyota 3 na nyota 4 kwa bei zilizopunguzwa
  • Usaidizi kwa kupanga likizo, kuona maandhari – kutembelea mji na ununuzi na burudani
  • Ufuatiliaji wa chaguo za utalii:
  • Faida za baada ya matibabu – Kutoa matibabu ya kufuatilia kupitia T-con, V-Con, Barua na Skype.
  • Habari za kuendelea kuhusu Afya, Matibabu na vidokezo.
  X
  Select Department
  Not Sure of the Specialty?
  X

  Choose your date & Slot

  Change Date
  Monday, OCTOBER 30
  Enter Patient Details

  Please Note: This session ends in 3:00 mins

  Not Finding Your Preferred Slots?
  Change Doctor
  or Location
  top hospital in hyderabad
  Call Helpline
  040 - 4567 4567